Sunday, January 29, 2012

MAJAMAA NA SIMBA

jamaa wawili walikua marafik sana: Mmoja alikuwa mlenga shabaha, na mwengine mtaalam wa kuchuna ngozi! wakaenda pori kuwinda, mtaalam wa kulenga shabaha akashuka kwenda kuwinda, ackuambie m2 yataka moyo...huku na kule mara ghafla jamaa kakutana na SIMBA! Kukimbia jamaa anamwambia mwenzake yule mtaalam wa kuchuna ngoz aliyebaki kwenye gari fungua mlango, jamaa akafungua mlango ile anaruka2 mara jamaa akajikwaa akadondoka wakat SIMBA naye alikuwa amesharuka, bac yule simba akapitiliza adi ndani ya gari...ackuambie m2 jamaa aliinuka fasta na kufunga mlango: Akamwambia yule mtaalam wa kuchuna ngozi wewe endelea kumchuna wacha mm nikamtafute mwingine...kama ni wewe mzee ukabahatika kumchuna huyo simba ukakutana na huyo jamaa cndio kummeza mzima mzima...

No comments:

Post a Comment