Buda mmoja alikua kaketi vibaya nakikoi chake,aliekua mbele alikua ni mkewe mpendwa.sasa mkewe akagundua ka jamaa ana makende matatu, mke akashutuka papo hapo akaomba talaka yake.
Mume...mbona mapema imekuaje sasa sweaty?
Mke..hapana nipe talaka we c binadamu kamili,binadamu gani ana makende matatu aka!staki hatkukuona..
Buda alipozidiwa akakubali kinyonge kisha akamtel mkewe alipokuaa akusanya virogo mpitie Alii umpe ushahidi kama waondoka.Mke sawa
mke alipotoka jamaa akampigia Alii "Oya wyf ameshtukizia mueka sawa arudi bado nampenda bro.Alii "aaaah poa.
Wyf alipofika kwa Ali,Alii akauliza mbona mapema shem?,Mke akamueleza yoote hakubakisha.
alii Dah wachanimpigie shahidi yangu kwamba nashuudia waondoka.
Mbele ya yule mke akapiga simu"Oyaa ni we Kasim makende sita? Noma mtel makende ma4 kwamba makende ma3 ameachwa na mkewe,Alafu uje kwangu na huyo makende7 namdai sina hata tikiki ya Mombasa,na usimwambie huyo makende5 anapenda vya bure sana poa?
Jamaa poa
Dah mke aliposkia kuna mpaka makende saba ilibidi arudi akisema "mh bora huko kwa tatu.....
No comments:
Post a Comment