Sunday, January 29, 2012

NYIKANI

Kama kawa kama dawa... Huko nyikani nyoka alikinyagwa na panya huko mwituni, kwa hasira nyoka akamuuliza panya...

Nyoka: "Oya dogo mbona tunakanyagana?! Au unataka nikutafune usiuone mwaka mpya?!
Panya: "Sorry braza bahati mbaya..."

Nyoka: "Bahati mbaya nini?! Ona kwanza, kijitu chenyewe kidogoo, midevu kila kona..."
Panya: "Braza samahani, ujue nakuheshimu sana... We mbona mtu mzima bado unatambaa?!"

No comments:

Post a Comment