- Mfugaji wa kasuku alimrudisha kasuku kwa muuzaji ampe mwingine kwani anatukana matusi Muuzaji kampa mwingine kamwambia huyu mstaarabu tena akinyanyua mguu wa kulia anaongea kiingereza akinyanyua wa kushoto anaongea kihindi, Jamaa akauliza akinyanyua yote je? Kasuku akadakia "mjinga nini wee si nitaanguka hapo!"
No comments:
Post a Comment